Watumishi CBIDO wahimizwa kujiandaa kustaafu

Watumishi wa Community Based Inclusive Development Organization (CBIDO) katika maazimisho ya siku ya wafanyakazi Dunia wahimizwa kujiandaa na kustaafu mapema kwa kuweka akiba, kuwekeza, na kujenga miradi ya maendeleo. Maandalizi bora ya leo ni uhakika wa maisha yenye heshima kesho.Sambamba na hilo pia wamekubushwa uhusiano wa kazi na familia na kwamba vitu hivi viwili vinategemeana.

#CBIDO#Inawezekana Tuanze Sasa